New Video: Ali Kiba - Mwana

MWANA...ni moja kati ya nyimbo za bongofleva ambayo video yake ilikuwa inasubiriwa sana na mashabiki, ndani na nje ya Tanzania hasa wale mashabiki wa msanii mwenye wimbo huo, Ali Kiba.

Ikiwa imesimamiwa vyema na kampuni ya video ya Godfather ya nchini Afrika Kusini, hii hapa video ya "Mwana" ya kwake Ali Kiba a.k.a Single Boy.

0 comments: