New Audio: Nuh Mziwanda - Zima Taa

Hii hapa ngoma mpya ya Nuh Mziwanda a.k.a Baba Shishi iliyofanywa na watayarishaji wawili, Man Walter na Young Kizz.

Ngoma inajulikana kwa jina la "ZIMA TAA"

Kama unakumbuka, Nuh pia alitamba na vibao vyake viwili, Msondo Ngoma na Otea Nani baada ya kuondoka katika kundi la Dar Stamina International alipowahi kufanya na kutamba na "Bwege Mtozeni"

0 comments: