New Video: Salmoo - Surrender (Directed by Moe Kaali)

Kwa pamoja wakitokea Dodoma chini ya One 4 Videos, muimbaji na muongozaji wa video, Salmoo na Moe Kaali, wamefanya kuleta mapinduzi makubwa katika wimbo wa "Surrender".
Ni video nzuri yenye mandhali na stori inayoeleweka.
Kama utakumbuka, audio ya video hiyo ilifanywa na Double Y pale G Sound Records kabla Double hajahamia Morogoro.



Muongozaji wa Video (Video Director): Moe Kaali 












 
Hii hapa video ya "SURRENDER" ya Sal-Moo Salim

0 comments: