Shetta ndani ya Goteborg Sweden, 26.12.2014

Msanii na mkali wa bongofleva kutoka Tanzania, Shettah a.k.a Mr Mdananda au Shetta The Don toka flat za Ilala, anatarajia kukinukisha live ndani ya jiji la Goteborg nchini Sweden, mahali panapoitwa Stallmastaregatan 7, Hallplats Bellevue.

Muda: Saa 4 Usiku hadi 11 Alfajiri kwa masaa ya huko.

Mpango mzima utakuwa ndani ya tarehe 26.12.2014 na Stepping Razor Sound wakishirikiana na BIORN Production ya Sweden ndo wamefanikisha fujo hizi.

Hongera kwa Shetta kwa shavu hilo na kwa Stepping Razor Sound kwa kutoa support kwa wasanii wetu.

0 comments: