Audio: DDC - TBL TCC

Dom Down Click ni kundi matata la Hiphop na "TBL TCC" ni moja kati ya ngoma zao kali sana. 

Lil Bello ama Bin Laden ndo kasimamia ngoma nzima hadi kukamilika.

Kila kitu kimesukwa ndani ya AJ Records.

0 comments: