Audio: Javan ft. Adam Shule Kongwe - Cha Tungi

Javan ni mmoja kati ya wana HIPHOP anayetokea kundi la Dom Down Click.

Akimshirikisha Adam Shule Kongwe, kwa pamoja wamefanya ngoma ya kuitwa "Cha Tungi" pale AJ Records, Area C, Dodoma.

Lil Bello ndo kasimamia mzigo

0 comments: