Audio: Javan - Mtaa Wa Matukio

Huyu hapa Javan wa DDC akiwakilisha Dodoma na ngoma yake kali ya "Mtaa wa Matukio".

Bonge moja ya HipHop iliyofanywa AJ Records na mnyama Lil Bello a.k.a Kichwa.

0 comments: