Audio: Miracle, Adam Shule Kongwe & Lil Bello - Supermix

Kwa pamoja akiwa mtayarishaji na mshiriki wa ngoma ya 'SUPERMIX", Lil Bello afanya poa na jamaa wengine wa DDC, Miracle na Adam Shule Kongwe.

Kama kawaida, ni pande za AJ Records na mzigo umesimamiwa na Lil Bello.

0 comments: