Audio: Juma Nature ft. Lady J Dee - Kama Jana

Hii hapa "KAMA JANA" ya Juma Nature akiwa na komando Lady Jay Dee binti Machozi.

Ni maneno mazuri sana ya kutia moyo na kukumbuka jinsi jana ilivyokuwa nzuri, so kwa nini tusifanye kama JANA ili LEO iwe mpaka KESHO.

0 comments: