New Audio: Ali Kiba - Hela

Baada ya kutamba na kibao cha "Mwana", Ali Kiba aibuka na kibao kingine kinachokwenda kwa jina la "Hela".

Ngoma imefanywa na AbyDady pale D360 Music

0 comments: