New Audio: G Rico - Dharau

Hii hapa ngoma ya jamaa wa kuitwa G Rico imefanyika pale Kiri Records, inaitwa "DHARAU"

Ni moja kati ya ngoma kali sana za mapenzi.

Ni msanii mpya lakini amefanya poa sanaaaaaaaaaa.


0 comments: