New Audio: Man 2C ft. Stide - Njoo Njoo

Hii hapa bonge la ngoma kutoka Kwanza Records, Morogoro la jamaa wa kuitwa Man 2C akimshirikisha Stide.

Mzigo umefanywa na Vent Skillz na soon ngoma hiyo inategemewa kufanywa video na Raph Tz ndani ya Moro Town.

0 comments: