Audio: Malisam - Peke Yangu

Hii hapa ngoma ya jamaa wa kuitwa Malisam inakwenda kwa jina la "Peke Yangu".

Imefanywa na Kimambo Touchez pale Chapakazi Records.

Kama unakumbuka, Malisam alishirikishwa na kufanya vizuri sana katika wimbo "MAMA LAO" wa Brezy ambao umekuwa gumzo sana Dodoma na vituo kadhaa vya redio vya Dar.

0 comments: