Video: Raph Tz ft. Steve RnB - Darasa

Hii hapa moja kati ya video kali ya ngoma kali alizowahi kufanya Raph Tz ndani ya studio ya Kali Nation ya mjini Dsm, Kijitonyama.

Raph amemshirikisha Steve RnB, beat ya wimbo huo imefanywa na Nuh Mziwanda a.k.a Baba Shishi.

Video imeongozwa na Erick Backamaza ambae ndio muongozaji wa video ya MAYA ya One Six, Hapakaliki ya Rotten Blood, Niite Sacho Buay ya Sacho Buay, Single Button ya Daka Lovee na Ghetto Anthem ya Shentee the Don & Ambary Mafia.

Ingawa Steve RnB hakuwepo katika video, lakini video iko vizuri sana.




0 comments: