New Audio: Cindy Rulz, Ayler, Tiffah, Chiku K, Illumination, Natty E & Stosh - Shujaa

Wanadada wanaofanya mziki wa kufokafoka (RAP) wameamua kuunda bonge ya ngoma ya pamoja inayokwenda kwa jina la "Shujaa".

Ngoma imefanyika kipande cha Arusha ndani ya studio za Grand-master Records.


0 comments: