Audio: One Six & Rossie Em - Don't Worry

Hii hapa moja kati ya ngoma kali na collabo ya maana sana toka kwa wakali wa sauti,  bidada Rossie Em na jamaa wa kuitwa One Six.
Ngoma inaitwa "Don't Worry" imefanywa na Lil Bello pale AJ Records, Dodoma.

Enjoy

0 comments: