Video: Rossie Em - Zawadi

Kama unapenda kuangalia na kusikiliza mziki mzuri basi Rossie huwa hafanyi makosa akiwa studio.

Hii hapa video ya ngoma yake "Zawadi" iliyofanywa na Uncle Fills wa Manefa Production.

Audio yake imefanywa na Muja Wahuki.

Rose pia amewahi kushirikiana na msanii wa sweet reggae, mkali kutoka Dodoma, One Six, katika wimbo wa "Don't Worry"

ZAWADI toka kwa Rose hii hapa
.


0 comments: