New Video: Ommy Dimpoz - Tupogo (Remix)

Hii hapa video ya remix ya wimbo "Tupogo" wa Ommy Dimpoz imefanywa na AJ.

Humo ndani yuko na Jokate ambae amehusika vema kwa upande wa uigizaji, kama wimbo flani wa kitamaduni.

Audio imefanywa na Man Walter pale Combination Sound.

Kama unakumbuka, TUPOGO yenyewe ya kwanza ilitamba sana kutokana na collabo ya kutosha aliyofanya na J Martin wa Nigeria.

0 comments: