New Video: Vanessa Mdee - Hawajui

Toka kwa mwanadada machachali, Vanessa Mdee, hii hapa video ya wimbo wake "HAWAJUI" imefanywa na Nick Campos wa Afrika Kusini.

Audio ya wimbo huo ilifanywa na Nahreel.

Hebu angalia uone mwenyewe

0 comments: