New Video Teaser: Tundaman - Mapenzi Yaleyale

Kila msanii ameamua kufanya kitu kizuri. Hii pia iko kwa Tunda baada ya kuachia teaser ya video yake inayoonekana kuwa kali ya ngoma yake "Mapenzi Yale Yale" .

Video hiyo inafanywa na Blue Media Productions.

0 comments: