New Video: G Nako - Morale

Morale ya G Nako hii hapa. Ni bonge moja la video, la ladha na ubunifu wa peke yake limefanywa na mtu mzima Hanscana.

Audio yake imefanywa na Chizain Brain.

Wafahamu Morale wewe? 
Hebu ona hapa


0 comments: