New Audio: Chibow ft. Beka Title & Stamina - Naongea na Wewe

Ngoma mpya ya Chibow Mtoto wa Pwani hii hapa. Inakwenda kwa jina la "Naongea na Wewe" amewashirikisha Stamina na Beka Title.
Imefanyika pale Kiri Records kwa Rash the Don.

Kama unamkumbuka vizuri Beka Title pia amehusika katika kazi ya Raph Tz na wenzake inayokwenda kwa jina la "Watasubiri"

0 comments: