New Video: Miza & Raph Tz ft. Benah - StayBack

Hii hapa video mpya iliyoongozwa na Raph Tz akishirikiana na Chris.

Ni video ya ngoma inayokwenda kwa jina la "STAYBACK" ya Miza & Raph Tz wakimshirikisha Benah, ambae aliwahi kutamba na wimbo wa "Mbali Nami"

Audio imefanywa na Jaysson Keyz pale Kali Nation, pande za K/Nyama, Dsm.



Raph Tz (Video Director & Hiphop Musician)














Jaysson Keyz (Music Producer & IT)




















Chris (Music Producer & Video Director)


0 comments: