New Audio: Javan - Masudi

Javan ni moja kati ya wanahiphop wakali sana anayewakilisha Dom Down Click (DDC) na hii hapa ni ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "Masudi"

Ngoma imefanywa na mtayarishaji Lil Bello a.k.a Kichwa ama Bello bin Laden.

Hebu fanya kusikiliza/kupakua usikie

0 comments: