New Audio: Miza & Raph Tz ft. Benah - StayBack

Moja kati ya ngoma kali ya collabo iliyofanywa na Raph Tz, Miza na Benah hii hapa iliyofanywa studio ya Kali Nation kwa Jaysson, pande za Kijitonyama, Dsm.

Ngoma inakwenda kwa jina la #STAYBACK# a.k.a So High.

Fanya kusikiliza hapa

0 comments: