New Video: Young 60 ft. One Six - Mapenzi Basi

Hii hapa moja kati ya video kali sana za mwaka 2015 kutoka kwa muongozaji Erick Backamaza.
Ni video ya jamaa kutoka Rap Nation "Young 60" akimshirikisha mkali wa RnB na Sweet Reggae, One Six kwa pamoja wakitokea Dodoma.
Backamaza pia aliwahi kutamba kwa kufanya video ya "MAYA" ya One Six, 2014

0 comments: