New Audio: Raph Tz ft. Benah - Mfalme wa Subira

Hii hapa mpya kabisa, bonge ya ngoma ya jamaa wa kuitwa Raph Tz akimshirikisha Benah, inayokwenda kwa jina la "Mfalme Wa Subira"

Ngoma imefanyika katika studio ya Kali Nation ya Kijitonyama, Dsm, chini ya mtayarishaji Chriss FrayKay.

Raph Tz ameshawahi kutamba na baadhi ya ngoma kadhaa alizotoa hapo awali wakati yupo Dodoma zikiwemo "I Can" aliyofanya na One Six, Uncreakable na Miracle, "Neria Hiphop Version" aliyofanya na Double na Oliver Mtukudzi, "Darasa" aliyofanya na Steve RnB, "Jipange" aliyofanya na Tundaman na Darasa, na nyingine kadhaa.


0 comments: