New Video: Big Born 90 - Mama Africa

"Mama Africa" ni moja kati ya ngoma kali zilizo katika mtindo wa reggae ikiwa imefanywa vyema na jamaa akiwakilisha Chamber Squad akitokea Dodoma, the Big Born 90.

Hii hapa video yake, kaliiiiiii iliyoongozwa na Moe Kaali chini ya kampuni ya video iitwayo One4 Videos.



Inasemekana video hiyo imedhaminiwa na mdau mkubwa wa filamu Dodoma na Tanzania, ndugu Suleish Marah ambae aliwahi kudhamini tuzo za NYAMBAGO za Kanda ya Kati.

Hongera nyingi kwa Rachel Bithulo kwa kushiriki vema uhusika wa video hiyo.

Huyu hapa Mr Kabooom the Dibilidaba, Big Born 90 na Mama Africa


0 comments: