New Video: Adam Mchomvu - Tiririka

Hii hapa mpya kabisa toka kwa Adam Mchovu, mzigo unaitwa "Tiririka".

Ni bonge moja la video limeongozwa na Hanscana.

Audio yake ilifanyika pale Uprise Music kwa Dupy

0 comments: