New Video: Okelo wa Show - Okelo

Ikiwa imeongozwa na Pablo chini ya kampuni ya video ya D360, hii hapa bonge moja la video kutoka kwake Okelo wa Show, ngoma inaitwa "Okelo"

Audio ilifanyika pale Classic Sound kwa Mona Gangsta

0 comments: