New Video: Muya - Naahidi

"Naahidi" ni moja kati ya video kali sana kutoka kwa muongozaji machachari kutoka Dodoma, ndugu Erick Backamaza, kwa mwaka huu 2015.

Naahidi ni wimbo mkali sana wa jamaa wa kuitwa Muya ambao ulifanyika pale Dreams Rec chini ya Sailas.

Hebu jionee mwenyewe hapa

0 comments: