New Audio: Chubby ft. One Six - Hakuna Tofauti

Moja kati ya ngoma kali na mpya kutoka kwa mwanadada Chubby akimshirikisha mdogo wake Mez B aitwae One Six.

Ngoma imefanywa na mtayarishaji Kid Man katika studio ya B1 Records, Dodoma, Tanzania.

Mpya kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

ENJOY

0 comments: