New Video: Man Snepa - Mwenyewe Ona

Hii hapa video mpya toka kwa mwongozaji Raph Tz aliyomfanyia jamaa wa kuitwa Man Snepa, na wimbo unaitwa Mwenyewe Ona.

Video imefanyika mkoani Morogoro.

Audio imefanywa na Maco Chali pale MJ Records.




Man Snepa ni moja kati ya wasanii waliowahi kupata bahati ya kwenda Uholanzi baada ya kufanya ngoma yake iliyoitwa "Barua"


0 comments: