New Audio: Slimsal ft. G Nako - Shauri Yako


SLIMSAL
SLIMSAL
SHAURI YAKO
SINGLE
VIEWS : 74



LYRICS


SLIMSAL FEAT G NAKO 
SHAURI YAKO - LYRICS 
Intro : G Nako 
Shauri yaaaakoo.. 
Shauri yako Wee...Aaaaaaaah aaahaahh.. 
Verse One : Slimsal 
Kuza Uchumiwa nyumbani, Vuta Sigara../ 
Unanunua Kifo Dukani, Umekuwa Kafara../ 
Miss Tanzania Aliyekalia Siti , Bibi Bomba ../ 
Dada Kapewa Mimba Pia Na Chips Sahani Moja../ 
Ukishapewa Mimba Unakimbiwa.. Sababu../ 
Sahani Ya Chakula Safi Ikishaliwa.. Ni Chafu../ 
Sura Ya Demu Wako Kwenye Dressing Table.., 
Usiku Akilala Anainawa Kwenye Sink../ 
Maisha Ni Maigizo Kama Tv Cable.., 
Kila Unachokiona Wamekiandikia Script../ 
Una Beef..? Weka Maji Utengeneze Supu../ 
Maana Bakuli Ya Mboga Nyumbani Kwenu Ni Tupu../ 
Washkaji wenye akili walikuwamateja!! mateja!!. Wakaacha../ 
Washkaji Wapumbavu ni wale mateja!! Mateja!!.. mpaka sasa../ 
Corus 
: G Nako 
Shauri Yako .. Shauri Yako Wee../ 
Maisha Ni Safari Nauli Yako Wee../ 
Wajibu Wako.. Wajibu Wako wee../ 
Kuitengeneza 
Leo Kesho Yako Wee.../ 
Shauri Yako , Maisha Yako../ 
Nauli Yako../ IkufikisheKesho Yako../ 
Shauri Yako.. Shauri Yako Wee../ 
Verse Two: Slimsal 
Zamu Yako Kuwa Mama nawe Vanessa Mdee../ 
Tajiri Ni Kijana Sio Bahkresa Mzee../ 
Log Out Instagram, Log in Bank../ 
Habari Za Kweli Mitaani Blogs Ni Fake../ 
Ukitaka Usipoteze Muda Potezea Simu.. 
Usingizi Ndo Utakaokupotezea Dream../ 
Siwezi Kuishi Kwenye Chumba Na Kitanda Cha Kulala . 
Usingizi Niilishauza Kwa Mkwanja Wa Hasara../ 
Sina Role Model Kwenye Tv Show../ 
Mimi Role Model Wangu Yu Mbele Ya Kioo../ 
Maskini namba moja, ni mjinga wa akili../ 
Anayefikiri Albino Atampa Utajiri../ 
Washkaji wenye akili walikuwa mateja!! mateja!!. Wakaacha../ 
Washkaji wapumbavu ni wale mateja!! Mateja!!.. mpaka sasa../ 
Corus: G Nako 
Shauri Yako.. ShauriYako Wee../ 
Maisha Ni Safari Nauli Yako Wee../ 
WajibuWako.. Wajibu Wako wee../ 
Kuitengeneza Leo Kesho Yako Wee.../ 
Shauri Yako, Maisha Yako../ 
Nauli Yako../ Ikufikishe Kesho Yako../ 
Shauri Yako.. Shauri Yako Wee../ 

WAANDISHI : 
SLIMSAL & G NAKO 

0 comments: