New Audio: Rai Classic ft. Becka Title - Lulu

Daaaah, kama hisia basi humu zimewakilishwa vyema. 

Rai Classic akifunguka juu ya hisia zake kwa Elizabeth Michael a.k.a Lulu ambalo ndo jina la wimbo.

Akiwa na Becka Title, mzigo umefanyika Kwanza Records chini ya Vent Skillz pande za Moro Town.

0 comments: