Mashindano ya Nasema Nawe Kata Dance | Diamond Platnumz

Haya tena ule mtanange wa wadada kucheza wimbo wa Nasema Nawe wa Diamond Platnumz Baba Zari, umeleta balaa kwa watu mana ni shidaaa mjini.

Mabinti wengi wamejitokeza na kushiriki kwa kutuma vipande vya video walivyojirekodi wakicheza wimbo huo.

Hebu ona hapa....





0 comments: