New Video: Mo Music - Nitazoea

Hili hapa bonge moja la video lililoongozwa na Adam Juma (AJ) la jamaa wa kuitwa  Mo Music.

Ni ngoma kali inayokwenda kwa jina la "Nitazoea"

Ni NEXT LEVEL PRODUCTION















0 comments: