New Video: Joh Makini - Nusunusu

Daaaaaaah, bonge moja la video la jamaa anayewakilisha Arachuga ama A City, Joh Makini toka Weusi ngoma inaitwa Nusunusu.
Kibongobongo huyu video director Justin Campos ni mpya na hii ni kazi kali sanaaaaa.
Enjoy

0 comments: