New Video: Kitwana ft. Makamua - Nyie

Hii hapa toka kwake Kitwana jamaa aliyepata kufanya kazi za mwanzoni kabisa na Hanscana ktk wimbo "I Run Dsm", hii sasa inaitwa Nyie, imefanywa tena na Hanscana.

Humo ndani yupo na mkali Makamua.

0 comments: