New Video: Cardinal Official & Mxauz ft. Chigita & Big Simba - Keep Ya Self (Directed by Raph Tz)

Hii hapa moja kati ya video mpya iliyoongozwa na Raph Tz.

Video imefanyika ndani ya jiji la Morogoro (Moro Town), ni ya jamaa wa kuitwa Cardinal Official na Mxauz wakiwa pamoja na Chigita na Big Simba, ya ngoma iitwayo "KEEP YA SELF"




Audio ilifanyika pale PMG Records, Madizini Morogoro karibu na Kilakala.

Raph Tz pia anategemea kuachia video ya "Soma Ule" ya Mkali wa Rhymes au Mfalme wa Morogoro, Afande Sele (Baba Tunda) siku si nyingi.

Check video ya Keep ya Self hapa


0 comments: