Utengenezaji wa Video ya "Jinsi ya Kumfikisha Mpenzi Wako Kileleni" ya Azma ft. Kita

Hebu angalia yaliyojili nyuma ya pazia katika utengenezaji wa video ya Azma alomshirikisha Kita ya wimbo "Jinsi wa Kumfikisha Mpenzi Wako Kileleni"

Ni hatari sana, hizi hela hizi dada zetu zitawapeleka sehem sio.

Angalia ujionee, pia chini ipo iliyokamilika

0 comments: