New Video: Afande Sele ft. Lusumo & Bush Dada - Soma Ule (Directed by Raph Tz)

Baada ya kukaa kimya muda mrefu hasa kwa upande wa video, hatimae Afande Sele aliyewahi kuwa Mfalme wa Rhymes aachia video ya wimbo wake "SOMA ULE"
 
Video hiyo imefanywa na mwongozaji Raph Tz (upcoming video director)
 
Audio ya wimbo huo ilifanyika Mahewa Records, Morogoro.
 
 
Hii hapa video ya Baba Tunda a.k.a Baba Sanaa, mfalme wa Moro Town
 


0 comments: