Utengenezaji wa Video ya Namba One (Rmx) ya Diamond Platnumz ft. Davido


Hebu angalia dk 10 hizi uone jinsi video ya "Namba One Remix" ya Diamond akiwa na Davido ilivyofanyika.
Video imeongozwa na Clarence Peters kutoka Nigeria.

Pia chini yake utaona video iliyokamilika tayari

0 comments: