New Audio: One Six ft. Hardmad - Yule Yule

Kutoka Tongwe Records na harakati za mkali wa RnB na Sweet Reggae akitokea Dodoma, One Six, kwa pamoja wamedondosha mzigo huu unaokwenda kwa jina "Yule-Yule"

One Six ni mmoja wa wasanii wakali wenye ndoto za kufanya vizuri katika mziki.

0 comments: