New Video: Central Zone - Shakalaka

Hii hapa video mpya toka kwa jamaa wanaowakilisha kanda ya kati ktk hiphop, wa kuitwa Central Zone, mzigo unakwenda kwa jina la "SHAKALAKA", video imeongozwa na Erick Backamaza.
Fanya kuitazamana na kushare na washikaji


0 comments: