New Video: Rai Classic ft. Becka Title - Lulu

Jamaa akitokea Moro town na audio ikiwa imefanywa na Vent Skillz pale Kwanza Records, fanya kuangalia hapa video ya wimbo "LULU" ya Rai Classic akiwa amemshirikisha Becka Title wa BOB Micharazo.

Video imeongozwa na Raph Tz kutoka After DayLight Films.




Hizi ni hisia za kweli toka kwa Rai kwenda kwa msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael a.k.a Lulu.
Angalia, halafu share na wenzako popote.


0 comments: