Audio: Jordan Kanyongakitu - Wa Moro

Moja ya ngoma kali sana zilizowahi kufanywa na Jordan Kanyongakitu ni "Wa Moro" iliyofanywa na mtayarishaji Tris ndani ya Moro Town.

Jordan kama msanii wa bongofleva amekuwa mtu wa kufanya vitu vizuri sana katika mziki ila bado tu hajapata nafasi nzuri ya kuonekana ktk bongofleva.



Jordan ammewahi kufanya ngoma kama 'Wasiwasi' alofanya na Ben Pol & Belle 9, 'Nanenepa' alofanya na Lotty, na ngoma za nyuma alizofanya na Geez Mabovu na wasanii wengine, pia alifanikiwa kufanya ngoma iloitwa 'Mapenzi Vita' ambayo ilichezwa sana kwenye vituo vya redio kama vile Clouds Fm, East Africa Radio na vituo vingine vingi.

Wa Moro ni moja kati ya ngoma zake kali, hii hapa.....Sikiliza, download halafu share...

0 comments: