Jikumbushe Bongofleva za Kitambo

Kama ulikuwa mpenzi wa ngoma za kitambo kwa upande wa bongofleva, basi hapa ndo mahala pake, yani ni ngoma kibaaaaao amabzo ziliwahi kutamba enzi hizo na wasanii kabla hawajawa maarufu sana wakati wanafanya vitu vizuri.
Je ulikuwepo? Je hukuwepo?
Hiyo haijalishi, fanya kujikumbushia hapa kwa ngoma kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaao

0 comments: