Utengenezaji wa Video ya 'Give Me Some More' ya Man 2C ft. Young Stide

Man 2C ni mmoja kati ya wasanii wa bongofleva ambae maskani yake ni mkoani Morogoro.

Miezi kadhaa iliyopita alifanya video ya wimbo wake "Give Me Some More" akiwa amemshirikisha Young Stide.

Video ya wimbo huo iliongozwa na Raph Tz chini ya kampuni ya video ya After DayLight Films.

Audio ilifanywa na mtayarishaji Vent Skillz pale Kwanza Records, Morogoro.

Hii hapa video fupi inayoonyesha baadhi ya matukio katika utengenezaji wa video hiyo na video iliyomalizika tayari

0 comments: