New Audio: Jaco Beatz - Nimejiroga

Moja kati ya ngoma kali sana toka kwa msanii aliyewahi kuwa supernyota wa Dodoma, Jaco Beatz ndo hii hapa.

Dude linaitwa NIMEJIROGA, limefanyika ndani ya Moto Records na kutengenezwa na yeye mwenyewe.

Ukiisikiliza, huishiwi hamu kutaka kuendelea.

Sio stori, hebu isikilize mwenyewe uenjoy na kushare na wenzako

0 comments: